Safiri Online

Safiri Online

Safiri online ni mfumo wa kuboresha ufanisi wa kazi ya usafirishaji wa mabasi ya mikoani.
Lengo letu ni kuboresha mfumo wa usafirishaji kuwa wa kielectroniki ili kuongeza ufanisi wa kazi na huduma,kupunguza uwizi na uchakachuaji na kumsaidia mmiliki wa mabasi kupata ripoti zote za kampuni ili kuweza kufanya maamuzi sahihi ya kibiashara.